1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuwaepusha vijana dhidi ya mitizamo mikali ya kidini

Daniel Gakuba/Caroline Wenzel17 Januari 2018

Fahamu jinsi ambavyo kikundi kinachojiita "Not in God's Name" kinawahamasisha vijana kujiepusha na mitizamo mikali ya kidini inayoweza kusababisha vurugu. Daniel Gakuba anasimulia zaidi kwenye makala ya Mwangaza wa Ulaya

https://p.dw.com/p/2qy1W