1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LEARNING BY EAR - NOA BONGO JENGA MAISHA YAKO

5 Mei 2008

Shirika la Deutsche welle linaanzisha msimu maalum wa michezo ya kuigiza vilevile makala mahusisi kwa vijana kujadilia mada mbalimbali.

https://p.dw.com/p/DtxP
Vijana mjini Kigali,Ruanda wakitayarisha makala mbali mbali za "Noa Bongo-Jenga maisha yako"Picha: Christine Harjes

Dhamira yake ni kuwahamasisha vijana kujiunga katika shughuli za uhifadhi wa mazingira,kujilinda dhidi ya kuambukizwa ugonjwa wa uhamiaji,kupata ufahamu na uelewa zaidi wa masuala ya uhamiaji vilevile urembo... na nafasi ya mtoto wa kike katika jamii.Makala hizo maalum maarufu Noa Bongo!Jenga maisha Yako zinaanza kurushwa mwishoni mwa wiki hii siku ya Jumamosi wakati wa mchana...

Josephat Charo alisimamia shughuli ya kurekodi makala hizo mjini Kigali nchini Rwanda na Thelma Mwadzaya alizungumza naye.