1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Leo ni siku ya kupambana na kuenea kwa majangwa

Admin.WagnerD17 Juni 2011

Leo (17.06.2011) ni siku ya kimataifa ya kupiga vita kuzidi na kupanuka kwa majangwa duniani, ambako kunatishia uhai na usalama wa viumbe vyenye uhai kwenye sayari ya dunia kutokana na kuongezeka kwa joto ulimwenguni.

https://p.dw.com/p/11d0n
Jangwa
JangwaPicha: CC / Bert van Dijk

Kaskazini mashariki mwa Kenya, ambapo ni eneo mojawapo lililo kame na lenye joto jingi, siku hii haiadhimishwi, ingawa pamekuwa na jitihada zinazoambatana na kampeni hii, kama anavyosema mkuu wa mkoa wa eneo hilo, Ole Serian, katika mahojiano haya na Maryam Dodo Abdalla.

Mahaojiano: Maryam Abdalla/Ole Serian
Mhariri: Othman Miraji