1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Leo ni siku ya mtoto wa Afrika

Josephat Nyiro Charo16 Juni 2010

Siku hii inaadhimishwa katika kukumbuka mauaji ya wanafunzi katika kitongoji cha Soweto huko nchini Afrika Kusini tarehe 16 June 1976.

https://p.dw.com/p/NsPZ
Watoto wa Afrika bado wanakabiliwa na hali ngumu katika maisha yaoPicha: picture-alliance/ dpa

Wakati siku hii ikikumbukwa huko katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo asilimia 80 ya watoto wanaishi katika umasikini mkubwa. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa la watoto, UNICEF, jiji la Kinshasa lina watoto 40,000 wanaoishi mitaani kutokana na umasikini na vita vya muda mrefu nchini humo.

Kutoka Kinshasa mwandishi wetu Salehe Mwanamilongo anaarifu zaidi

Mwandishi:Salehe Mwanamilongo

Mhariri: Josephat Charo