1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kikwete asisitiza marufuku ya kukaa mita 100

Grace Kabogo15 Oktoba 2015

Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuonya kutumia nguvu dhidi ya watu watakaokaa umbali wa mita 200 baada ya kupiga kura, wakosoaji wanasema kiongozi huyo anayemaliza muda wake anachupa mipaka.

https://p.dw.com/p/1Goyb
Helen Kijo-Bisimba wa LHRC.
Helen Kijo-Bisimba wa LHRC.Picha: DW/J. Hahn

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC), Helen Kidjo Bisimba, anasema madai ya wananchi kukaa vituoni kulinda kura zao yanatokana na kupoteza kwao imani na uadilifu wa taasisi zinazotakiwa kusimamia haki na sheria za uchaguzi.

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo
Mhariri: Yusuf Saumu

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi