1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

LONDON:Kasisi wa Kenya kurudishwa kwa nguvu nyumbani?

10 Novemba 2007
https://p.dw.com/p/CBKK

Mahakama ya mjini London imetoa amri ya kurudishwa nchini kenya kasisi anaedai kuwa na uwezo wa kuwapa wagumba watoto wa kimiujiza.

Kasisi huyo Gilbert Deya aliejipachika uaskofu anakabiliwa na madai ya kuiba watoto kati ya mwaka 1999 na 2004.