1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maboma ya Wamasai yachomwa Tanzania

15 Agosti 2017

Familia zaidi ya 100 za jamii ya kabila la Wamasai huko Loliondo hazina mahala pa kuishi baada ya maboma yao kuchomwa moto na askari wa wanyamapori kutoka hifadhi za Serengeti na Ngorongoro nchini humo.

https://p.dw.com/p/2iEL2
Wamasai waliochomewa maboma Loliondo
Picha: DW/C.Ngereza.

RIPOTI YA MABOMA KUCHOMWA LOLIONDO - MP3-Stereo