1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madaktari warejea kazini Tanzania

10 Februari 2012

Mgomo wa madaktari nchini Tanzania, ambao umedumu kwa zaidi ya wiki mbili sasa hatimae umemalizika na madaktari hao kuanza kazi huku Madaktari hao wakihimiza serikali kutekeleza madao yao ya msingi.

https://p.dw.com/p/141K3
Tanzania
TanzaniaPicha: DW

Baada ya kumalizika kwa mgomo wa zaidi ya wiki mbili wa madaktari nchini Tanzania, mwenyekiti wa Kamati ya kushughulikia kero za madaktari nchini humo, daktari Stephen Ulimboka, amesema pamoja na wao kurejea makazini, serikali isilale usingizi katika kushughulikia kero ambazo imeahidi itazitatua.

Sikiliza mahojiano hayo katika kwa kubonyeza alama ya spika ya masikioni

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Miraji Othman