1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko yaleta maafa nchini Burundi

Samia Othman11 Februari 2014

Kazi ya uokozi wa miili ya watu waliokufa kufuatia mvua ukubwa iliyoambatana na upepo mkali usiku wa kuamkia jana inaendelea nchini Burundi.

https://p.dw.com/p/1B6di
Mafuriko Afrika
Mafuriko AfrikaPicha: AP

Hadi sasa zaidi ya watu 70 wamefariki dunia na kwamba idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka. Serikali ya nchi hiyo imetangaza siku mbili za maombolezo kufuatia msiba huo mkubwa. Kutoka mjini Bujumbura, Grégoire Nijimbere na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini.

Mwandishi: Grégoire Nijimbere

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi