1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya juu Kenya yaombwa kutenda haki

22 Agosti 2017

Viongozi wa muungano mkuu wa upinzani NASA wametoa witu huo kuhusu kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu. Rais Kenyatta amesema ana imani kwamba mahakama itamtangaza yeye mshindi halali wa uchaguzi.

https://p.dw.com/p/2iekC
Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga
Picha: Reuters/T. Mukoya

J3.22.08.2017NASA asks Supreme Court to be fair - MP3-Stereo