1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama yailaumu IEBC Kenya

Sudi Mnette
20 Septemba 2017

Polisi yatumia nguvu kuwatawanya waandamanaji Kenya wakati Mahakama ya Juu ikitangaza misingi ya hukumu yake iliyobatilisha uchaguzi wa Agosti 8. Trump aitisha Korea Kaskazini na Kansela Merkel aongoza kikao chake cha mwisho cha baraza la mawaziri kabla uchaguzi wa Jumapili. Papo kwa Papo 20.09.2017.

https://p.dw.com/p/2kOdk