1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahamadu Abdul Kader, Niger

23 Mei 2013

Bwana huyu mwenye umri wa miaka 45 anaishi Tahoua nchini Niger. Ni mwanaharakati wa chama cha Muryar Talaka, yaani Sauti ya Mtu wa Kawaida na anaukosoa Umoja wa Afrika.

https://p.dw.com/p/18c8m
Das Bild zeigt Mahamadu Abdul Kader und wurde aufgenommen in Tahoua/Niger von Salissou Boukari/DW Haussa. Zulieferer: Friederike Müller
50 Jahre Afrikanische UnionPicha: DW/S. Boukari

"Jumuia hii ninaisikia tangu nilipokuwa shule ya msingi. Wakati ule ilikuwa inaitwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU). Jukumu kuu la jumuia hii lilikuwa kuzipatia nchi za Afrika katika nadharia ya aina moja. Lakini kwa bahati mbaya hawakufanikiwa. Yadhirika kana kwamba wanakosa moyo wa kulifikia lengo lao."