1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na Kiongozi wa upinzani Azarias Ruberwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

18 Aprili 2007

Kiongozi wa chama cha upinzani RCD-Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na aliyekuwa mmojawapo wa makamu wanne wa zamani wakati wa serikali ya mpito Bw.Azarias Ruberwa,amesema yuko tayari kuwapokonya silaha wanamgambo wake bila ya masharti yoyote.

https://p.dw.com/p/CHG2

Ruberwa aliyasema hayo katika mahojiano na mwandishi wetu mjini Kinshasa, Saleh Mwanamilongo kuhusu hali ya kisiasa nchini humo ambapo alionya pia kuwa hatua yoyote ya kumtia nguvuni Kiongozi wa chama cha MLC Jean Pierre Bemba inaweza kuathiri mno mwenendo wa demokrasia nchini Kongo. Lakini kwanza akifafanua juu ya kuwa tayari kuwapokonya silaha wanamgambo wake, kiongozi huyo wa upinzani alisema: