1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji Bibi Joyce Mhaville wa Radio One na ITV

12 Septemba 2007

Katika jengo letu hili la Radio Deutsche Welle hapa Idhaa ya Kiswahili, punde hivi tulijiwa na ugeni wa Bibi Joyce Mhaville, mkurugenzi mtendaji wa Radio One na ITV,mashirika ya kibinafsi ya radio na televisheni huko Tanzania.

https://p.dw.com/p/CHjJ

Bibi huyo ni mojawapo wa wanawake aliyefanikiwa kupanda katika ngazi za uongozi wa mashirika yanayotajika nchini mwake.

Baada ya kuzitembelea shughuli tunazozifanya sisi hapa Bonn, katika Deutsche Welle, Othman Miraji alizungumza naye na kwanza kumueleza hivi juu ya kuweko kwake hapa Ujerumani wakati huu...