1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na Mwanasheria wa Zanzibar Bw.Ali Ahmed Uki kuhusu Haki za Binaadamu Visiwani Zanzibar

31 Agosti 2007

Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora huko Tanzania, inayoongozwa na Jaji Robert Kisanga, kwa mara ya kwanza imetoa taafira yake kuhusu hali za haki za binaadamu Visiwani Zanzibar na imelalamika juu ya kuvunjwa haki hizo, hasa na vyombo vya dola.

https://p.dw.com/p/CH8i
Othman Miraji alizungumza na mwanasheria wa Zanzibar Ali Ahmed Uki ambaye ameipitia taarifa hiyo na kwanza alielezea vipi sasa tume hiyo inafanya shughuli zake hadi Visiwani ambapo mwanzoni iliwekewa guu na wakuu wa Zanzibar.