1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugumu wa maisha ya mhamiaji wa haramu

Yusra Buwayhid
28 Desemba 2017

Maisha ya kila siku ya wahamiaji haramu si rahisi, kwa vile wanafanya kazi ngumu zenye ujira mdogo sana na huishi mabarabarani huku wakijaribu kukwepa kukamatwa na polisi na kurejeshwa makwao.

https://p.dw.com/p/2q46J