1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maji huzusha vurugu kijiji cha Secheck

8 Januari 2018

Kijiji cha Secheck kilichoko mkoa wa Manyara huko Tanzania kina uhaba mkubwa maji na kati ya wanaotaabika ni wanawake. Kawaida wanatembea mwendo mrefu kuyatafuta ila wanapofika katika sehemu ya kutekea maji, changamoto nyengine huwakumba, kupambana na wanaume.

https://p.dw.com/p/2qWMv