1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makanisa: 'Haki ni msingi wa amani'

9 Machi 2018

Baraza la makanisa duniani limetaka haki ienziwe katika ngazi za familia hadi ulimwengu mzima. Wito huo umetolewa na wajumbe wa makanisa mbalimbali wakiwemo maaskofu wanaokutana kwa kongamano la kimataifa Arusha.

https://p.dw.com/p/2u3So
Wajumbe wa Baraza la Makanisa
Picha: DW/C. Ngereza

J3 09.03 Arusha world mission conference - MP3-Stereo