1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Makonda agoma kuomba radhi kwa wahariri

9 Agosti 2017

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeondoa marufuku ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Hata hivyo, Makonda amesema hatakaa aombe msamaha kwa wanahabari.

https://p.dw.com/p/2hwcM
Tanzania Paul Makonda
Picha: E. Boniphace

J3.09.08.2017 Makonda and Media - MP3-Stereo

Kufahamu undani wa jambo hilo, DW imezungumza na Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, Neville Meena.