1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maktaba ya vitabu inayozunguka Mwanza

25 Mei 2016

Katika jiji la Mwanza wajasiriamali jamii wawili wameanzisha mradi wa maktaba ya vitabu inayozunguka "My Little travelling Library" wakitumia matoroli. Jiunge na mwandishi wetu Dotto Bulendu ujifunze mengi.

https://p.dw.com/p/1Iu1o
Afrika Schule Mädchen Kilifi Afrika Klassenzimmer Mombasa
Picha: AFP/Getty Images

[No title]