1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Makumbusho ya Olduvai Ngorongoro

Sudi Mnette
4 Oktoba 2017

https://p.dw.com/p/2lDEb

Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya imekamilisha ujenzi wa Makumbusho mapya ya Olduvai  ambayo yanaonesha Chimbuko  la Binadamu (The Cradle of Humankind) katika Bara la Afrika. Zaidi mwandishi Charles Ngereza anaelezea.