1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mamilioni yagharimia masomo ziada kwa wanafunzi Ujerumani

18 Januari 2013

Hofu na wasiwasi, watoto wao wasije wakashindwa kufanya vizuri katika mitihani ya kumaliza masomo shuleni huwafanya wazee wengi watoe mamilioni ya fedha kuwalipa walimu wanaotoa mafunzo ya ziada majumbani.

https://p.dw.com/p/17Ly5
Kijana wa miaka 16 anapatiwa msaada kuweza kufanya vyema shuleniPicha: picture-alliance/dpa/Joker