1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni ya wananchi wa Zanzibar baada ya Rais Karume na Katibu mkuu wa CUF Seif Shariff Hamad kukutana

6 Novemba 2009

Kwa mashangao wa watu wengi, jana katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, alikwenda Ikulu ya Zanzibar na akakutana na rais wa Zanzibar, Amani Karume.

https://p.dw.com/p/KPw3
Rais Amani Karume wa Zanzibar akutana na Katibu Mkuu wa chama cha CUF Seif Shariff HamadPicha: AP Photo

Taarifa fupi ya pamoja iliotolewa Ikulu ya Zanzibar ilisema viongozi hao wawili walizungumzia juu ya kushirikiana na kuendeleza mazungumzo yatakayosaidia kuvipeleka mbele visiwa vya Zanzibar na watu wake.

Othman Miraji leo amekusanya maoni ya Wazanzibari wachache kuhusu toke hilo la jana...

Mtayarishaji: Othman Miraji

Mhariri:M. Abdulrahman