1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda mjini Hannover,Ujerumani

19 Aprili 2007

Serikali ya Ujerumani imesema kuwa itaendelea na utaratibu wa kuyasaidia makampuni ya hapa nchini yanayotaka kuwekeza barani Afrika aktika sekta ya nishati.

https://p.dw.com/p/CHFq
Maonyesho ya Hannover yalioanza tarehe 16.04.07
Maonyesho ya Hannover yalioanza tarehe 16.04.07Picha: AP

Hayo yamesemwa na mkurugenzi mkuu msaidizi wa kitengo cha nje cha uchumi katika wizara ya uchumi na teknolojia ya Ujerumani Dk.Michael Kruse kwenye kongamano la nishati Afrika pembezoni mwa maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za kiviwanda mjini Hannover.

Abubakar Liongo ambaye amehudhuria maonyesho hayo ana taarifa kamili.