1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapambano dhidi ya mauaji ya albino

31 Machi 2015

DW inakuletea mfululizo wa vipindi na makala kuhusu visa vya kuuliwa kwa albino na juhudi za kuwalinda watu hao wenye ulemavu wa ngozi. Soma, sikiliza na tazama ufahamu mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/1EkAj
Albino Leonidah na mpwa wake
Picha: DW/G. Ketels

Nchini Tanzania mauaji ya watu walio na ulemavu wa ngozi au albino yameripotiwa kuzidi kuongezeka. Wanasiasa, wasanii na wanajamii sasa wanaungana kuelimisha kuhusu mila hii potofu na kuhakikisha kuwa watu hawa wanalindwa.

Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi

Ripoti na uchambuzi

Onesha taarifa zaidi