1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapambano dhidi ya ukoma Tanzania

Hawa Bihoga13 Februari 2018

Ni ugonjwa wa kudumu, unaohusishwa kwa kiwango kikubwa na umasikini, tabia yake kuu ni kushambulia mifumo ya mawasiliano kati ya ubongo na mwili, lakini ugonjwa huu huchukua muda mrefu hadi kujitokeza katika mwili wa mgonjwa. Lakini ni ugonjwa ambao ukichelewa matibabu utakuacha na ulemavu wa kudumu. Wengi huchelewa kwani wanaamini ukoma unatokana na kulogwa. Kumbe ni ugonjwa wa maambukizi.

https://p.dw.com/p/2saik