1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapambano na rushwa yamefika wapi Afrika?

29 Novemba 2016

Mkutano wa asasi za kupambana na kuzuia rushwa Afrika Mashariki umefanyika Tanzania. Washiriki wanataka kufuatilia uhalifu na kuweka mkakati wa kurejesha fedha zinazotoroshwa na kufichwa nje ya nchi.

https://p.dw.com/p/2TSkJ
Pesa za rushwa
Picha: picture-alliance/AP Photo/S. Alamba

RIPOTI MKUTANO WA RUSHWA ARUSHA - MP3-Stereo