1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano kaskazini mashariki mwa Kenya

8 Februari 2012

Hali ya usalama inaripotiwa kuwa nzuri katika eneo la Moyale kaskazini mashariki mwa Kenya.

https://p.dw.com/p/13z68
Jamii ya Waborana na Wagabra kutoka kenya wakimbilia Ethiopia
Jamii ya Waborana na Wagabra kutoka kenya wakimbilia EthiopiaPicha: AP

Mapigano hayo kati ya jamii za Waborana na Wagabra yaliwalazimisha takribani watu 20 elfu kuyahama makazi yao na kukimbilia katika nchi jirani ya Ethiopia.

Daniel Gakuba ameongea na Galma Godana, mbunge wa zamani wa Moyale, ambaye anajishughulisha na usuluhishi wa migogoro katika eneo hilo, na kwanza alimuuliza nini kilikuwa chanzo cha mzozo wa hivi karibuni.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Othman Miraji