1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano Kivu ya Kusini

14 Juni 2007

Operesheni za Kijeshi zinazojumuisha majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Umoja wa Mataifa MONUC ya kuwasaka waasi wa Rwanda kwa jina Rasta katika msitu wa Mugabe huko Kivu ya Kusini zimezaa matunda.

https://p.dw.com/p/CHCi

Wapiganaji 14 wa kundi hilo la waasi la Rasta waliuawa. Kundi hilo linaaminika kuwa sehemu ya kundi la waasi la FDLR.

Kutoka Beni John Kanyunyu anaarifu zaidi.