1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano Makali yatokea Kivu ya Kaskazini,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

28 Aprili 2008

Kumetokea mapigano makali kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa Rwanda wa SDLR.

https://p.dw.com/p/DqFi
Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP


Mapigano hayo yametokea katika kijiji cha Kamandi wilayani Lubero kwenye mkoa wa Kivu ya Kaskazini.


Mwandishi wetu John Kanyunyu anaarifu zaidi.