1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano yazuka upya mashariki mwa Kongo

1 Oktoba 2008

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo mapigano yamezuka upya katika mkoa wa Ituri.

https://p.dw.com/p/FSK4
Majeshi wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP

Mapigano yamezuka tena katika mkoa wa Ituri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baina ya majeshi ya serikali na yale ya waasi katika kijiji cha Bukiringi.

John Kanyunyu na taarifa zaidi.