1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapinduzi Zanzibar yatimiza miaka 48

Sekione Kitojo12 Januari 2012

Leo Wazanzibari wameadhimisha miaka 48 tangu kuung'oa utawala wa kifalme nchini humo kwa mapinduzi yaliyofanyika siku kama ya leo tarehe 12 Januari.

https://p.dw.com/p/13iIN
Viongozi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar pamoja na viongozi wa serikali ya muungano wa Tanzania katika sherehe za mapinduzi
Viongozi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar pamoja na viongozi wa serikali ya muungano wa Tanzania, katika sherehe za mapinduzi.Picha: Salma Said

Leo Wazanzibari wameadhimisha miaka 48 ya mapinduzi ya Zanzibar yaliouondosha utawala wa kifalme.

Maadhimisho hayo yamefanyika katika uwanja wa Amani/Unguja mjini ambako Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein, aliwahutubia wananchi. Katika maadhimisho hayo pia alihudhuria rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wa chama na serikali.

Mwandishi Othman Miraji

Mhariri Yusuf Saumu