1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani kukutana na Iran, Syria

Charles Mwebeya28 Februari 2007

Marekani imesema iko tayari kuhudhuria mkutano wa pamoja na baadhi ya nchi za eneo la mashariki ya kati mwezi ujao, zikiwamo pia Syria na Iran ili kutafuta suluhisho la amani nchini Iraq.

https://p.dw.com/p/CHJE
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condoleeza Rice .
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi. Condoleeza Rice .Picha: AP