1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashabiki wa soka 15 waaga Dunia mjini Kinshasa

12 Mei 2014

Watu 15 wameaga dunia na wengine 21 wamejeruhiwa baada ya vurugu kutokea jana jioni wakati wa mpambano wa kandanda katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Kinshasa.

https://p.dw.com/p/1ByVD
23.04.2014 Karte Congo DRC train crash Katanga map

Mashabiki wa AS Vita Club walianza kurusha mawe uwanjani baada ya kuhisi kuwa watashindwa katika mechi hiyo wakati timu yao kufungwa goli moja kwa sifuri na TP Mazembe. Nimezungumza na mwandishi wa habari Patrice Chitera akiwa mjini Kinshasa, na kwanza alianza kusimulia kilichojiri katika uwanja wa Tata Raphael wakati wa mchuano huo kati ya AS Vita Club na Tout Puissant Mazembe

Mwandishi: Bruce Amani/AFP/reuters/DPA
Mhariri: Mohammed Abdul-rahman