1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashirika ya UNIFEM na UNDP yashadidia suala la jinsia katika uchaguzi wa Tanzania

Josephat Nyiro Charo10 Juni 2010

Uchaguzi watarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu

https://p.dw.com/p/NmsM

Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, UNDP, kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia wanawake, UNIFEM, linafanya mkutano jijini Dar es Salaam, Tanzania ikiwa ni sehemu ya mikutano inayofanya nchini humo kuhusiana na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka huu nchini humo kuhakikisha kwamba unakuwa huru, wa haki na demokrasia kwa kuhakikisha kuwa makundi yote ya jamii yanashiriki katika uchaguzi huo.

Halima Nyanza amezungumza na Erasmina Massawe, Mshauri wa Jinsia katika mradi wa kusaidia uchaguzi.

Mpitiaji:Abdul-Rahman