1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, 18 Oktoba 2017

TSA / S08S18 Oktoba 2017

Miongoni mwa yaliyomo kwenye uchambuzi wa habari asubuhi hii ni kuanza kwa mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto nchini Ujerumani, namna kuja juu kwa vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia barani Ulaya kunavyovifanya vyama vya kihafidhina kugeukia misamamo mikali dhidi ya wageni, na mchango wa mitandao ya kijamii katika kuwakosoa viongozi Afrika.

https://p.dw.com/p/2m3K3