1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

25 Juni 2018

Recep Tayyip Erdogan ashinda kiti cha urais katika uchaguzi wa Uturuki//Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ataka nchi zijadiliane kimakundi kutatua suala la uhamiaji Ulaya//Na Mtu wa pili afariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mlipuko wa Jumamosi Ethiopia

https://p.dw.com/p/30CrR