1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 10.12.2022

10 Desemba 2022

Marekani yadai Urusi na Iran zimetanua ushirika wao wa kijeshi. Ubelgiji yaitaka Rwanda kuacha kuwaunga mkono waasi wa M23. Sherehe ya Tuzo ya Amani ya Nobel kufanyika leo mjini Oslo.

https://p.dw.com/p/4Kldu