1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matarajio ya Wakenya baada ya ziara ya Koffi Annan nchini humo

9 Oktoba 2009

<p>Baada ya Kofi Annan kuondoka nchini Kenya, ziara yake ilionekana ni kuiwekea mbinyo serikali iharakishe gurudumu la mageuzi.

https://p.dw.com/p/K2Ld
Koffi Annan ataka serikali iharakishe hatua ya mageuzi nchini KenyaPicha: AP
Mashirika yasiyo ya kiserikali yanasema linalohitajika ni Annan kubuni jopo la uchunguzi litakaloyashirikisha mashirika ya kiraia na viongozi wa dini, ili wawasukume viongozi wawajibike kuharakisha hatua za mageuzi, la sivyo ziara za Annan zitakuwa ni za bure. Munira Muhammad alizungumza na Cyprian Nyamwamu, mkurugenzi wa shirika la National Convention Executive Council, mwavuli wa asasi za kiraia nchini Kenya. Alianza kwa kumuuliza Iwapo viongozi wa kisiasa nchini Kenya wanamheshimu Annan, Wakenya watarajie nini kutoka kwa Rais Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga.

Mwandishi: Munira Muhammad.

Mhariri:Hamidou Oummilkheir