1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matarajio ya Wakenya ya kombe la dunia la kandanda 2010

Josephat Nyiro Charo10 Juni 2010

Ngoma inaanza kuchezwa siku ya Ijumaa jioni baina ya Bafana Bafana ya Afrika Kusini na timu ya Mexico

https://p.dw.com/p/Nnio
Wakaazi wa Mombasa wakiwa katika barabara za jiji hiloPicha: picture-alliance / dpa

Mwandishi wetu mjini Mombasa nchini Kenya, Eric Ponda, alivinjari katika mitaa ya mji huo wa kitalii kukusanya maoni na matarajio ya mashabiki wa soka nchini humo na kututumia taarifa ifuatayo.

Mwandishi:Maryam Abdalla

Mpitiaji: Miraji Othman