1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo baina ya Bibi Asha Rose Migiro na Rais Joseph Kabila

24 Aprili 2007

Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo amemuhakikishia naibu mkuu wa umoja wa mataifa Bibi.Asha Rose Migiro nia yake ya kuendeleza ushirikiano na umoja huo.

https://p.dw.com/p/CHFb
Bibi. Asha Rose Migiro, Naibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
Bibi. Asha Rose Migiro, Naibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.Picha: AP

Hayo yametokea baada ya mashauriano ya zaidi ya saa mbili kati ya viongozi hao.
Bibi.Asha Rose Migiro yuko ziarani mjini Kinshasa.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.