1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchakato wa Katiba mpya nchini Tanzania

12 Julai 2012

Mchakato wa kukusanya maoni kuelekea katiba mpya unaendelea nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/15Voz
Wananchi wa Tanzania watoa maoni yao kuhusu katiba mpya
Wananchi wa Tanzania watoa maoni yao kuhusu katiba mpyaPicha: Mohammed Khelef

Kumekuwa na malalamiko juu ya namna zoezi hilo linavyoendeshwa na hivyo kusababisha hofu kawamba huenda kile kinachotakiwa kukusanywa kisipatikane ipasavyo. Stumai George amezungumza na Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba Tanzania Deus Kibamba na kwanza anaeleza kile kinachoendelea kwa sasa.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Stumai George

Mhariri: Mohammed AbdulRahman