1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchakato wa Katiba Mpya ya Tanzania wapotea njia au uko sahihi?

14 Agosti 2012

Huku joto la mabadiliko ya katiba likiwa chini upande wa Tanzania Bara, upande wa Zanzibar wananchi wengi wanajitokeza kwenye Tume ya Kukusanya Maoni wakitaka muundo tafauti ya Muungano na hata wengine kutaka uvunjwe.

https://p.dw.com/p/15pWc
Rais wa Zanzibar, Ali Mohammed Shein (kulia), na Makamo wake wa Kwanza, Seif Sharif Hamad.
Rais wa Zanzibar, Ali Mohammed Shein (kulia), na Makamo wake wa Kwanza, Seif Sharif Hamad.Picha: DW

Katika makala hii ya Mapamzuko, Mohammed Abdul-Rahman anaangalia ikiwa mchakato wa katiba mpya nchini Tanzania upo kwenye njia sahihi au umeingia kwahala siko. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mapamzuko Afrika
Mada: Katiba Mpya Tanzania
Mtayarishaji: Mohammed Abdul-Rahman
Mhariri: Mohammed Khelef