1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Global Media Forum: Uhuru wa vyombo vya habari

24 Juni 2015

Uhuru wa vyombo vya habari, changamoto za waandishi habari na kutanuka kwa teknolojia katika sekta hii ni mambo yaliojadiliwa katika kongamano la Kimataifa la vyombo vya habari linalofanyika mjini Bonn, Ujerumani.

https://p.dw.com/p/1Fmr8
GMF-Banner 2015 Logo klein

[No title]

Sikiliza mahojiano baina ya Amina Abubakar na mtaalamu anayetokea nchini Tanzania, Balthazar Kitundu, ambaye kwanza ameanza kuelezea vyombo vya habari vina mchango gani kuibadili hali linapokuja suala la kiuchumi na hata kupata mafanikio ya kisiasa.