1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchezo wa Skate watumika Ethiopia kuwaepusha vijana kuingia matatani

23 Machi 2016

Israel Dejene anawaleta vijana pamoja mjini Addis Ababa kwa kujenga ukumbi wa kucheza mchezo wa Skate na kupitia mchezo huo wanajifunza namna ya kuzikabili changamoto za kimaisha.

https://p.dw.com/p/1II37