1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchoraji Said Michael katika Kinagaubaga

Sudi Mnette20 Juni 2018

Mchoraji wa katuni ama vibonzo kutoka Tanzania, Said Michael, amekuwa akifanya kazi na DW kwa miaka kadhaa. Katika Kinagaubaga anamueleza Sudi Mnette kuhusu kazi zake za kila siku, hasa katika kipindi hiki chenye mivutano mingi ya kisiasa.

https://p.dw.com/p/2zwQQ
DW Cartoon von Said Michael- Bundesliga Live
Picha: DW/S. Michael
Karikatur Tansania 100 Tage Präsident Magufuli von Said Michael
Picha: DW/Said Michael
Cartoon Karikatur sAID Michael Mandela Day
Karikatur Korruption in Tansania von Said Michael
Picha: DW/Said Michael