1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro wa Misitu ya Mau nchini Kenya

21 Agosti 2009

Nchini Kenya mgogoro kuhusu uhifadhi wa misitu wa Mau uliokumbwa na uharibifu mkubwa umechukuwa mkondo mpya baada ya Rais Kibaki kumkabidhi Waziri Mkuu Odinga mamlaka ya kuwafurusha watu wanaoishi katika maeneo hayo.

https://p.dw.com/p/JFgg
Waziri Mkuu Raila Odinga apewa jukumu la kuwaondosha watu wanaoishi msitu wa MauPicha: AP

Tayari serikali imeanza shughuli ya kuhamisha zaidi ya familia elfu kumi zinazoishi kandokando ya Msitu wa Marmanet wilayani Laikipia Magharibi.

Mwandishi wetu wa Nairobi Alfred Kiti anayo maelezo kamili .

Mtayarishaji:Alfred Kiti

Mpitiaji: Thelma Mwadzaya