1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgombea aliyejumuishwa katika uchaguzi wa Oktoba 26

Josephat Charo
17 Oktoba 2017

Katika Kinagaubaga wiki hii, Josephat Charo anafanya mazungumzo na mgombea wa urais Kenya Dr. Ekuru Aukot ambaye alikwenda mahakamani ili ajumuishwe katika uchaguzi mpya wa Oktoba 26. Mgombea huyo pia anataka kufanyike mabadiliko katika tume ya uchaguzi. Fuatilia mazungumzo hayo kuhusu pia uchaguzi mpya ujao.

https://p.dw.com/p/2lxmZ