1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo Bandarini Mombasa

2 Novemba 2012

Mgomo wa wafanyakazi wapatao 3500 katika bandari ya Mombasa nchini Kenya umeingia siku yake ya pili hii leo huku kukiwa na matumaini ya matakwa yao kutimizwa.

https://p.dw.com/p/16bkj
Bandari ya Mombasa
Bandari ya MombasaPicha: AP

Kwa sasa inasemekana kuwa wahusika wakuu wa bandari hiyo akiwemo mkurugenzi Gichiri Ndua wako katika mkutano wa kujadili namna ya kukabiliana na mgomo huo na kuzingatia matakwa ya wanaogoma.

Bandari ya Mombasa ni muhimu kwa nchi nyingi za kanda ya Afrika Mashariki na kati.

Amina Abubakar amezungumza na mwandishi wetu mjini humo Eric Ponda na kwanza anaelezea hali halisi ilivyo wakati huu :-

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman