Mgomo wa Madaktari nchini Tanzania
9 Machi 2012Matangazo
Kwa ujumla kuna hali ya masikitiko na manung'uniko toka kwa wananchi ambao baadhi yao wameanza kuwaondosha wagonjwa wao toka hospitalini.
Kutoka Daresalaam George Njogopa na taarifa kamili.
(Kusikiliza taarifa hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika hapo chini)
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohamed Abdulrahman